RATIBA YA SOMO LA KISWAHILI DARASA LA NANE MUHULA KWANZA – 2022
WK |
KIP |
FUNZO |
MADA |
SHABAHA |
SHUGHULI ZA MAFUNZO |
NYENZO |
ASILIA |
MAONI |
1 |
|
MARUDIO |
Mada mbalimbali |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuyarudia aliyoyapitia katika darasa la saba ili kujitayarisha kwa kazi ya darasa la nane. |
Kuuliza na kujibu maswali ya kauli na ya kimaandishi. |
Karatasi za mitihani iliyopita |
Vitabu mbalimbali vya marudio. |
|
2
|
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Maamkuzi, |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumi maneno ya adabu na heshima kwa njia sawa |
Kuuliza na kujibu maswali kuigizama |
|
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu)uk. 1 |
|
2 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi. |
|
|
,, Uk. 2 |
|
|
3 |
KUANDIKA |
Sentensi zenye miundo mbalimbali |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufafanua sentensi zenye miundo mbalimbali (neno moja, fupi, mseto/ndefu) |
|
Mifano Ubaoni |
Uk. 3 |
|
|
4 |
SARUFI |
Viambishi ngeli |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze - kutumia ya viambishi ngeli kutunga sentensi sahihi |
|
-Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi
|
Uk. 4 |
|
|
5 |
MSAMIATI |
Tarakimu (10,000,001- 30,000,000) |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa tarakimu (10,000,001- 30,000,000) kwa kuunda sentensi sahihi. |
kuandika tarakimu kwa maneno |
chati zenye tarakimu |
Uk. 7 |
|
|
3 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Adabu na heshima |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuigiza mazungumzo yanayohusisha maneno ya adabu na heshima. |
|
Uhusika wa wanafunzi |
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 9 |
|
2 |
KUSOMA |
Ufahamu: Usafi wa mazingira |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ufahamu kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi. |
|
|
Uk 10 |
|
|
3 |
KUANDIKA |
Insha ya wasifu |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika wasifu wa kiongozi ampedaye kwa hati nadhifu. |
kuandika wasifu |
Vidokezo ubaoni |
Uk 12 |
|
|
4 |
SARUFI |
Vivumishi visivyochukua ngeli |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja maana ya vivumishi, kutoa mifano ya vivumishi vya sifa kapa, kutunga sentensi sahihi akiyumia vivumishi vya sifa. |
|
Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi
|
Uk 13 |
|
|
5 |
MSAMIATI |
Akisami |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa akisami kwa kutunga sentensi sahihi . |
|
Picha na michoro mbalmbali.
|
Uk 13 |
|
|
4 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Hadithi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma hadithi kwa sauti na kusimulia hadithi hiyo kwa maneno yake mwenyewe. |
|
Uhusika wa wanafunzi |
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 15 |
|
2 |
KUSOMA |
Ufahamu: Msiba wa kujitakia hauna kilio |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi. |
|
Picha na taarifa katika kitabu cha wanafunzi. |
Uk. 17 |
|
|
3 |
KUANDIKA |
Imla |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika maneno atakayosomewa kwa maendelezo sahihi. |
kusikiliza kwa makini na kuandika maneno |
Mifano ya manen kitabuni mwa wanafunzi |
Uk. 20 |
|
|
4 |
SARUFI |
Vihisishi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja maana ya vihisishi, kutoa mifano ya vihisishi, kutunga sentensi sahihi akionyesha hisia tofauti |
kueleza maana ya vihisishi, kutoa mifano Kuunda sentensi |
Maelezo kitabuni mwa wanafunzi |
Uk. 21 |
|
|
5 |
MSAMIATI |
Pembe kumi na sita za dunia |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa dira kwa usahihi. |
|
michoro mbalimbali ubaoni |
Uk. 22 |
|
|
5 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Vitendawili |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutega na kutegua vitendawili kwa ustadi |
|
Picha na michoro ubaoni na kitabuni
|
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi:kiswaili kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 24 |
|
2 |
KUSOMA |
Maktaba |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma kitabu chochote akipendacho cha hadithi kutoka kwa maktaba |
|
vitabu vya hadithi kutoka maktaba |
Vitabu vya hadithi vilivyosomwa |
|
|
3 |
KUANDIKA |
Barua ya kirafiki |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika barua ya kirafiki kwa hati nadhifu |
|
mfano wa barua ya kirafiki ubaoni |
Uk. 25 |
|
|
4 |
SARUFI |
Viunganishi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja maana ya viunganishi, kutoa mifano ya viunganish, kutunga sentensi sahihi akitumia viunganishi. |
|
|
Uk. 26 |
|
|
5 |
MSAMIATI |
Sayari |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja sayari |
|
|
Uk. 28 |
|
|
6 |
- |
TATHMINI YA MASOMO |
|
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kujibu maswali ya mtihani kwa usahihi kulingana na mafunzo ya awali. |
|
Mtihani wa katikati mwa muhula |
karatasi za mitihani |
|
7 |
MAPUMZIKO MAFUPI |
|
||||||
8 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Mafumbo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufumba na kufumbua mafumbo kwa ustadi. |
kufumba na kufumbua mafumbo
|
Uhusika wa wanafunzi |
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 29 |
|
2 |
KUSOMA |
Ufahamu: Zilizala |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi. |
|
Picha na taarifa katika kitabu cha wanafunzi. |
Uk. 29 |
|
|
3 |
KUANDIKA |
Insha: Barua rasmi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika barua rasmi kwa mpangilio muafaka. |
|
mfano wa barua rasmi ubaoni na kitabuni |
Uk. 31 |
|
|
4 |
SARUFI |
Vielezi vya mkazo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutoa mifano ya Vielezi vya mkazo na kutunga sentensi sahihi akitumia Vielezi vya mkazo |
|
Mifano ubaoni |
Uk. 33 |
|
|
5 |
MSAMIATI |
Maliasili |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja aina za maliasili na kutumia msamiati wa maliasili kutunga sentensi. |
|
Picha na michorombalimbali. |
Uk. 34 |
|
|
9 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Misemo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja misemo na kueleza maana yake. |
|
mifano ya misemo kitabuni na ubaoni. |
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk.36 |
|
2 |
KUSOMA |
Ufahamu; Kazi ipewe nani? |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma mazungumzo kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye mazungumzo hayo kwa usahihi. |
|
Picha na makala katika kitabu cha mwanafunzi. |
Uk.37 |
|
|
3 |
KUANDIKA |
Ushairi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja kanuni za ushairi na kutunga shairi fupi kuhusu jambo alipendalo. |
|
-Mifano ubaoni |
Uk. 41 |
|
|
4 |
SARUFI |
Kirejeshi –amba pamoja na ngeli |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia kirejeshi –amba na ngeli za A-WA,U-I, KI-VI, LI-YA, U-YA na YA-YA kutunga sentensi sahihi. |
|
|
Uk. 42 |
|
|
5 |
MSAMIATI |
Msamiati |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja wizara mbalimbali na idara zake katika serikali. |
|
Picha na michoro mbalimbali |
Uk. 44 |
|
|
10 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Methali |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja methali mbalimbali na kueleza maana ya methali hizo. |
|
Mifano ya methali ubaoni na kitabuni mwa wanafunzi |
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 45 |
|
2 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma shairi kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye shairi hilo kwa usahihi. |
|
shairi kitabuni mwa wanafunzi. |
Uk. 47 |
|
|
3 |
KUANDIKA |
-Insha ya maelezo |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelezo kwa hati nadhifu. |
Kuandika insha |
Vidokezo ubaoni |
Uk.49 |
|
|
4 |
SARUFI |
Matumizi ya ndi- na si |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja matumizi sahihi ya viambishi ndi na si |
|
|
Uk. 49 |
|
|
5 |
MSAMIATI |
Mahakamani |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja msamiati wa Mahakamani na kuutumia kuunda sentensi sahihi. |
|
picha na michoro mbalimbali |
Uk. 52 |
|
|
11 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Taarifa: Hotuba ya mfamasia |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusikiliza kwa makini taarifa itakayosomwa na kujibu maswali ya kauli kwa usahihi |
|
Makala kitabuni |
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 54 |
|
2 |
KUSOMA |
Ufahamu |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi. |
|
Picha na taarifa katika kitabu cha wanafunzi. |
Uk.55 |
|
|
3 |
KUANDIKA |
Insha ya hotuba |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika isha ya hotuba kulingana na muundu ufaao. |
Kuandika insha |
Vidokezo ubaoni |
Uk. 57 |
|
|
4 |
SARUFI |
Vivumishi vya A -unganifu |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja vivumishi vya A unganifu na kutunga sentensi zenye vivumishi hivyo. |
kutaja vivumishi vya A unganifu -Kutunga sentensi |
Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi |
Uk. 59 |
|
|
5 |
MSAMIATI |
Tarakimu |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuendelea kupanua kiwango chake cha msamiati kwa kutumia ipasavyo tarakimu za (30,000,001 -60,000,000) |
|
Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi |
Uk. 60 |
|
|
12 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUONGEA |
Majadiliano |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kushiriki mjadala kwa kutoa hoja muhimu kuhusu faida na hasara za mbuga za kuhifadhi wanyama pori. |
|
Uhusika wa wanafunzi
|
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 61 |
|
2 |
KUSOMA |
Ufahamu Haki za mtoto ni zipi? |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi. |
|
Taarifa katika kitabu cha wanafunzi. |
Uk. 61 |
|
|
3 |
KUANDIKA |
Insha ya kuendeleza |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya kuendeleza kwa hati nadhifu |
Kuandika insha |
-Vidokezo ubaoni
|
Uk. 64 |
|
|
4 |
SARUFI |
Vielezi |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja aina za vielezi kwa kutoa mifano sahihi. |
|
Maelezo kitabuni mwa wanafunzi |
Uk. 65 |
|
|
5 |
MSAMIATI |
Mekoni |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa akisami kuunda sentensi sahihi. |
|
Vifaa asili kama mbuzi, mwiko, uteo, susu n.k |
Uk. 67 |
|
|
13 |
- |
MAREJELEO |
Mada zote zilizosomwa awali |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kurudia yale yote aliyojifunza ili kujitayarisha kwa mtihani wa mwisho wa muhula. |
Kuuliza na kujibu maswali ya kauli naya kimaandishi. |
Mazoezi ya marudio kitabuni mmwa wanafunzi |
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 1-68 |
|
14 |
MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA KUSAHIHISHA NA KUNAKILI MATOKEO. |