Tuesday, 15 November 2022 08:07

Kiswahili Activities - Grade 5 Schemes of Work Term 2 2023

Rate this item
(1 Vote)

KISWAHILI ACTIVITIES. 

Wk

Ls n

Strand/ Theme

Sub   strand

Specific learning outcomes

Key inquiry Questions

Learning experiences

Learning Resources

Assessment methods

Ref l

1 1

SAA NA
MAJIRA: 
Kuandika

Aina za Insha: Baruapepe

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua nomino katika ngeli ya I-ZI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine
  2. kuandika nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi
  3. kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya ngeli ya I-ZI
  4. Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI katika mawasiliano.
  1. Unazingatia mambo gani unapoandika baruapepe?
  2. Ni mambo gani unayoweza kumweleza rafiki yako katika baruapepe?

Ashiriki na wenzake

  1. kujadili mada ya
  2. baruapepe na vipengele vyake/yale yanayofaa kujumuishwa
  3. aandike barua pepe kwa rafiki kwa kuzingatia ubora wa sentensi (sahihi kisarufi, zilizokamilika
  4. kimaana, zenye kufuatana kwa kujenga wazo na zenye kuzingatia uakifishi mzuri) kuunda aya
  5. ashirikeshe msamiati wa mada lengwa katika baruapepe yake
  6. aandike barua pepe na kutuma wenzake na walimu ili waisome na kutathmini

Kielelezo cha insha ya Baruapepe

  1. Kuandika
    tungo mbalimbali
  2. Wanafunzi kufanyiana tathmini
  3. Potfolio
  4. Shajara
  5. Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
 
2

Sarufi

Umoja na wingi wa nomino: Ngeli I-ZI

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua nomino katika ngeli ya I-ZI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine
  2. kuandika nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi
  3. kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya ngeli ya I-ZI
  4. Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI katika mawasiliano.

1. Je, unajua nomino zipi ambazo hazibadiliki katika umoja na wingi?

Mwanafunzi:

  1. Atambua nomino katika ngeli ya I-ZI kwenye kadi, mti maneno, tarakilishi au kapu la maneno (k.v. nguo- nguo, ndizi- ndizi, ndoo-ndoo na nyumbanyumba)
  2. Aandike nomino katika ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi

Tarakilishi/vipakatalishi

Kinasasauti
Rununu
projekta
Kapu maneno
Mti maneno
Kadi za maneno
Picha za vitu mbalimbali 
Michoro 
Chati 

a) Kutambua k.m. kwenye orodha
b) Kuambatanisha maneno lengwa
c) Kujaza mapengo
e) Kazi mradi

  3

Umoja na wingi wa nomino: Ngeli I-ZI

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua nomino katika ngeli ya I-ZI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine
  2. kuandika nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi
  3. kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya ngeli ya I-ZI
  4. Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI katika mawasiliano.
1. Je, unajua nomino zipi ambazo hazibadiliki katika umoja na wingi?
  • Asikize usomaji wa nomino za ngeli ya I-ZI kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti
  • Aandike mafungu ya maneno yenye
  • yenye nomino za ngeli
  • ya I-ZI katika umoja na wingi
  • ajaze mapango kwa kutumia kwa kutumia viambishi vya ngeli ya I-ZI kwa maandishi ya mkono au kwa tarakilishi.
  • Tarakilishi/vipa katalishi
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Kapu maneno
  • Mti maneno
  • Kadi za maneno
  • Picha za vitu mbalimbali
  • Michoro
  • Chati
a) Kutambua k.m. kwenye orodha
b) Kuambatanisha maneno lengwa
c) Kujaza mapengo
d) Kazi mradi
 
4

  Umoja na wingi wa sentensi: katika ngeli ya I-ZI  

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua nomino katika ngeli ya I-ZI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine
  2. kuandika nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi
  3. kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya ngeli ya I-ZI
  4. Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI katika mawasiliano.
1. Je, unajua nomino zipi ambazo zinaanza kwa herufi U katika umoja?
  • Asikize usomaji wa nomino za ngeli ya I-ZI kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti
  • Aandike mafungu ya maneno yenye
  • yenye nomino za ngeli
  • ya I-ZI katika umoja na wingi
  • ajaze mapango kwa kutumia kwa kutumia viambishi vya ngeli ya I-ZI kwa maandishi ya mkono au kwa tarakilishi.
  • Tarakilishi/vipa katalishi
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Kapu maneno
  • Mti maneno
  • Kadi za maneno
  • Picha za vitu mbalimbali
  • Michoro
  • Chati
a) Kutambua k.m. kwenye orodha
b) Kuambatanisha maneno lengwa
c) Kujaza mapengo
d) Kazi mradi
 
2

1

  Umoja na wingi wa sentensi: katika ngeli ya I-ZI

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya I- ZI kwenye sentensi
  2. kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi
  3. kuonea fahari matumizi ya ngeli ya I-ZI katika mawasiliano
1. Je, unajua nomino zipi ambazo zinaanza kwa herufi U katika umoja? Aunde sentensi kwa kutumia nomino ya ngeli ya I-ZI akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wenzake.
  • Tarakilishi/vipa katalishi
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Kapu maneno
  • Mti maneno
  • Kadi za maneno
  • Picha za vitu mbalimbali
  • Michoro
  • Chati
a) Kutambua k.m. kwenye orodha
b) Kuambatanisha maneno lengwa
c) Kujaza mapengo
d) Kazi mradi
 
  2 KUKABI LIANA NA UMASKI NI Kusikiliza na Kuzungumza: Methali: Methali zinazohusu bidii

Kufikia mwisho wa mada ndogo,mwanafunzi aweze:

  1. kutambua methali zinazohusu bidii ili kuzitofautisha na aina nyingine za methali
  2. kueleza maana na matumizi ya methali mbalimbali zinazohusu bidii katika jamii
  3. kutumia methali zinazohusubidii katika mawasiliano
  4. kuchangamkia matumizi ya methali katika kuhimiza bidii
1. Je, ni nini umuhimu wa methali katika jamii?

Mwanafunzi:

  1. Atambue methali zinazohusu bidii (k.v. mchagua jembe si mkulima, mgagaa na upwa
  2. hali wali mkavu, atafutaye hupata, anayejitahidi hufaidi, ukiona vyaelea vimeundwa) katika chati, ubao, vyombo vya kidijitali
  3. ajadili maana na matumizi ya methali zinazohusu bidii na wenzake darasani
  • Chati
  • Michoro na picha
  • Mgeni mwalikwa
  • video)
  • Mti maneno
  • Kapu maneno mbalimbali
  • Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
  • Kujibu maswali
  • Maigizo
  • Kutambua k.m. kwenye orodha
  • Mijadala
  • Mazungumzo
 
3

  Kusikiliza na Kuzungumza: Methali: Methali zinazohusu bidii

Kufikia mwisho wa mada ndogo,mwanafunzi aweze:

  1. kutambua methali zinazohusu bidii ili kuzitofautisha na aina nyingine za methali
  2. kueleza maana na matumizi ya methali mbalimbali zinazohusu bidii katika jamii
  3. kutumia methali zinazohusubidii katika mawasiliano
  4. kuchangamkia matumizi ya methali katika kuhimiza bidii
1. Je, ni nini umuhimu wa methali katika jamii?
  • Atoe mifano ya methali  zinazohusu bidii
  • Asikilize methali zinazohusu bidii zikitumiwa kupitia vyombo vya kidijitali.
  • Ashirikiane na wenzake  katika kukamilisha methali zinazohusu bidii
  • Asakure mtandaoni kwa kusaidiwa na mzazi au mlezi wake ili kupata methali zaidi zinazohusu bidii na matumizi ya methali hizo.
  • Chati
  • Michoro na picha
  • Mgeni mwalikwa
  • video)
  • Mti maneno
  • Kapu maneno mbalimbali
  • Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
  • Kujibu maswali
  • Maigizo
  • Kutambua k.m. kwenye orodha
  • Mijadala
  • Mazungumzo
 
4

Kusoma Kusoma kwa ufahamu: Lugha katika ushairi

Kufikia mwisho wa mada ndogo,mwanafunzi aweze:

  1. kutambua vina na mizani katika shairi ili kuvibainisha
  2. kusoma shairi akizingatia vina, mizani na ujumbe ili kuimarisha ufahamu
  3. Achangamkie kusoma shairi akizingatia mapigo ya sauti.
1. Je, ni nini kinachotofautisha mashairi na maandishi mengine?

Mwanafunzi:

  1. Atambue vina na mizani katika shairi lililochapisha au la mtandaoni
  2. Ajadili vina na mizani katika shairi akiwa na mwenzake au katika kikundi
  3. Asirikiane na mwenzake kusoma shairi akizingatia vina, mizani na ujumbe
  • Tarakilishi/vipa katalishi
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Chati
  • Michoro na picha
  • Mgeni mwalikwa
  • video)
  • Mti maneno
  • Kapu maneno mbalimbali
  1. Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
  2. Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
  3. Kutoa muhtasari wa
    ufahamu au matini
 
3

1

  Kusoma kwa ufahamu: Lugha katika ushairi

Kufikia mwisho wa mada ndogo,mwanafunzi aweze:

  1. kutambua vina na mizani katika shairi ili kuvibainisha
  2. kusoma shairi akizingatia vina, mizani na ujumbe ili kuimarisha ufahamu
  3. Achangamkie kusoma shairi akizingatia mapigo ya sauti.
 1. Je, ni nini kinachotofautisha mashairi na maandishi mengine?  

Mwanafunzi:

  1. atambue vina na mizani katika shairi lililochapisha au la mtandaoni
  2. ajadili mizani katika shairi akiwa na mwenzake au katika kikundi
  3. ashirikiane na mwenzake kusoma shairi akizingatia vina, mizani na ujumbe
  4. asikilize shairi likisomwa kwa mahadhi kwenye vifaa vya kidijitali au na mgeni mwalikwa na kujadili vina, mizani na ujumbe wake
  5. ashirikiane na wenzake kutafuta mashairi mtandaoni na kujadili vina, mizani na ujumbe uliomo
  • Tarakilishi/vi pakatalishi
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Nakala ya shairi
  • kamusi
  • Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
  • Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
  • Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
  • Kukariri na kuimba mashairi
  • Kusoma kwa sauti
 
2

Kuandika Insha ya Maelezo  

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali
  2. kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo
  3. Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ili kuimarisha uandishi.
Unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo?

Mwanafunzi:

  1. Atambue vifungu vya  maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi
  2. Ashiriki na wenzake kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya maelezo
  3. Ajadiliane na wenzake kuhusu mambo muhimu yanayojenga mpangilio mzuri wa mawazo katika insha
  4. Aandike insha ya maelezo mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili
  5. kuisoma na kuitathmini
  6. Awasome wenzake insha  aliyoandika ili kuitolea maoni.
 
  • asikilize shairi likisomwa kwa mahadhi kwenye vifaa vya kidijitali au na mgeni mwalikwa na kujadili vina, mizani na ujumbe wake
  • ashirikiane na wenzake kutafuta mashairi mtandaoni na kujadili vina, mizani na ujumbe uliomo
  • Kielelezo cha insha ya maelezo
  • Kuandika tungo mbalimbali
  • Wanafunzi kufanyiana tathmini
  • Potfolio
  • Shajara
  • Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
 
3

  Insha ya Maelezo Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:
  1. kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali
  2. kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo
  3. Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ili kuimarisha uandishi.
Unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo? Aandike insha ya maelezo (k.v. Jinsi ninavyoweza kuchangia kukabiliana na umaskini nyumbani, Maskini alivyogeuka kuwa tajiri, Jinsi elimu ilivyosaidia kumaliza umaskini, jinsi matumizi bora ya pesa yanasaidia kumaliza umaskini, jinsi ulipaji ushuru unasaidia kukabiliana na umaskini) isiyopungua maneno 150 kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu unaojumuisha methali na nahau alizojifunza awali
  • Kielelezo cha insha ya
  • masimulizi
  • Kielelezo cha insha ya
  • maelezo
  • Kielelezo cha insha ya wasifu
  • Nakala ya barua ya kirafiki
  • Nakala ya barua rasmi
  • Kuandika tungo mbalimbali
  • Wanafunzi kufanyiana tathmini
  • Potfolio
  • Shajara
  • Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
 
4

Sarufi Umoja na Wingi wa Nomino: Ngeli ya U-ZI Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:
  1. kutambua nomino katika ngeli ya U-ZI
  2. kuandika nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi
  3. kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya U-ZI
  4. Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-ZI katika mawasiliano.
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-ZI?

Mwanafunzi:

  1. Atambue nomino katika  ya U-ZI kwenye kadi, mti wa maneno, tarakilishi au kapu la maneno (k.m. UziNyuzi, Ukuta-Kuta, Uta- Nyuta, ubavu-mbavu, wakatinyakati, ukucha-kucha na ufunguo- funguo, wimbonyimbo)
  • Tarakilishi/vipa katalishi
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Kapu maneno
  • Mti maneno
  • Kadi za maneno
  • Picha za vitu mbalimbali
  • Michoro
  • Chati
  • Mabango
a) Kutambua k.m. kwenye orodha
b) Kuambatanisha maneno lengwa
c) Kujaza mapengo
d) Kazi mradi
 
4

1

  Umoja na Wingi wa Nomino: Ngeli ya U-ZI

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua nomino katika ngeli ya U-ZI
  2. kuandika nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi
  3. kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya U-ZI
  4. Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-ZI katika mawasiliano.
1. Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-ZI?
  • Andike mino katika ngeli ya U-ZI katika umoja nawingi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi
  • Asiikilize usomaji wa nomino  za ngeli ya U-ZI kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti
  • Andike mafungu ya maneno yenye nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi
  • Ajaze pengo kwa kutumia viambishi vya ngeli ya U-ZI kwa maandishi ya mkono au kwa tarakilishi.
  • Tarakilishi/vipa katalishi
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Kapu maneno
  • Mti maneno
  • Kadi za maneno
  • Picha za vitu mbalimbali
  • Michoro
a) Kutambua k.m. kwenye orodha
b) Kuambatanisha maneno lengwa
c) Kujaza mapengo
d) Kazi mradi
 
2

  Umoja na wingi wa sentensi: Ngeli ya U-ZI

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua nomino katika ngeli ya U-ZI
  2. kuandika nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi
  3. kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya U-ZI
  4. Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-ZI katika mawasiliano.
1. Je, nomino za ngeli ya U-ZI huchukua viambishi vipatanishi gani ?
  • Andike mino katika ngeli ya U-ZI katika umoja nawingi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi
  • Asiikilize usomaji wa nomino  za ngeli ya U-ZI kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti
  • Andike mafungu ya maneno yenye nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na wingi
  • Ajaze pengo kwa kutumia viambishi vya ngeli ya U-ZI kwa maandishi ya mkono au kwa tarakilishi.
  • Tarakilishi/vipa katalishi
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Kapu maneno
  • Mti maneno
  • Kadi za maneno
  • Picha za vitu mbalimbali
  • Michoro
  • Chati
  • Mabango
a) Kutambua k.m. kwenye orodha
b) Kuambatanisha maneno lengwa
c) Kujaza mapengo
d) Kazi mradi
 
3

MAADILI Kusikiliza na kuzungumza: Matamshi Bora: Ushairi

Kufikia mwisho wa mada ndogo,mwanafunzi aweze:

  1. kukariri shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali
  2. kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi
  3. kutumia msamiati uliotumiwa katika shairi kuboresha masiliano
  4. kuonyesha ufahamu wa ujumbe katika shairi kwa kujibu maswali
  5. Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa  ufasaha.
1. Ushairi unaweza kuboresha mazungumzo yako vipi?

Mwanafunzi:

  1. Akariri shairi kuhusu mada lengwa (maadili) kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali
  2. Asikilize shairi lengwa lengwa 
  3. likikaririwa au kuimbwa na mwalimu, mgeni mwalikwa (mghani) au kupitia vifaa vya kidijitali ashirikiane na wenzake
  4. kukariri au kuimba shairi kwa mahadhi mbalimbali
  • Chati
  • Michoro na picha
  • Mgeni mwalikwa
  • video)
  • Mti maneno
  • Kapu maneno
  • Vitabu mbalimbali
  • Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
  • Kujibu maswali
  • Maigizo
  • Kutambua k.m. kwenye orodha
  • Mijadala
  • Mazungumzo
 
4

  Kusikiliza na kuzungumza: Matamshi Bora: Ushairi

Kufikia mwisho wa mada ndogo,mwanafunzi aweze:

  1. kukariri shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali
  2. kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi
  3. kutumia msamiati uliotumiwa katika shairi kuboresha masiliano
  4. kuonyesha ufahamu wa ujumbe katika shairi kwa kujibu maswali
  5. Kuchangamkia ushairi Kama njia ya kujieleza Kwa ufasaha.
Ushairi unaweza kuboresha mazungumzo yako vipi?
  1. Atambue msamiati  uliotumika katika ushairi kuhusu maadili (k.m. haki, usawa, heshima na uwajibikaji) na kuueleza akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wenzake ashirikiane na wenzake kujadili ujumbe katika shairi
  2. ajibu maswali yanayotokana  na shairi alilosikiliza, aliloimba au kukariri
  • Chati
  • Michoro na picha
  • Mgeni mwalikwa
  • video)
  • Mti maneno
  • Kapu maneno
  • Vitabu mbalimbali
  1. Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
  2. Kujibu maswali
  3. Maigizo
  4. Kutambua k.m. kwenye orodha
  5. Mijadala
  6. Mazungumzo
 
5

1

Kusoma Kusoma kwa Mapana: Makala

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. Kutambua makala ya kusoma katika maktaba ili kuimarisha uchaguzi bora wa Makala
  2. kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha
  3. kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha
  • Unapenda kusoma makala ya aina gani?
  • Ni ujumbe upi uliopata kwenye makala uliyowahi kusoma?
 
Mwanafunzi:

  1. Achague makala atakayosoma katika maktaba e makala ya aina mbalimbali yakujichagulia liane na wenzake kuhusu makala aliyoyasoma na alichojifunza kutokana na makala hayo
  2. Atumie kamusi kupata maana za msamiati uliotumika katika makala.
  3. Asaidiwe na mzazi au mlezi wake kupata makala zaidi na kuyasoma ili kujenga mazoea ya usomaji.
  • Tarakilishi/vi pakatalishi
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Nakala ya shairi
  • kamusi
  1. Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
  2. Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
  3. Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
  4. Kukariri na kuimba mashairi
  5. Kusoma kwa sauti
 
2

  Kusoma kwa Mapana: Makala

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. Kutambua makala ya kusoma katika maktaba ili kuimarisha uchaguzi bora wa Makala
  2. kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha
  3. kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha
 
  • Unapenda kusoma makala ya aina gani?
  • Ni ujumbe upi uliopata kwenye makala uliyowahi kusoma?

Mwanafunzi:

  1. Achague makala atakayosoma katika maktaba e makala ya aina mbalimbali ya kujichagulia liane na wenzake kuhusu makala aliyoyasoma na alichojifunza kutokana na makala hayo
  2. Atumie kamusi kupata maana za msamiati uliotumika katika makala.
  3. Asaidiwe na mzazi au mlezi wake kupata makala zaidi na kuyasoma ili kujenga mazoea ya usomaji.
  • Tarakilishi/vi pakatalishi
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Nakala ya shairi
  • kamusi
  1. Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
  2. Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
  3. Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
  4. Kukariri na kuimba mashairi
  5. Kusoma kwa sauti
 
3

Kuandi ka Kuandika Insha: Insha za Wasifu

Kufikia mwisho wa mada ndogo,mwanafunzi aweze:

  1. kutambua vipengele vya kimuundo vya insha za wasifu
  2. kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo na mtindo ufaao
  3. kufurahia uandishi wa insha za wasifu ili kukuza stadi ya kuandika
1. Unazingatia nini unapoandika insha ya wasifu?

Mwanafunzi:

  1. Atazame makala za insha za wasifu kwenye chapa au kwenye tarakilishi.
  2. Atambue vipengele muhimu vya kimuundo kama vile kichwa, mwili, hitimisho
  3. Ajadili na wenzake kuhusu kinachoweza
  4. kuandikiwa katika insha ya wasifu (k.v. mtu,kitu, mnyama na mahali)
Kielelezo cha insha ya wasifu
  • Kuandika tungo mbalimbali
  • Wanafunzi kufanyiana tathmini
  • Potfolio
  • Shajara
  • Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
 
4

  Kuandika Insha: Insha za Wasifu

Kufikia mwisho wa mada ndogo,mwanafunzi aweze:

  1. kutambua vipengele vya kimuundo vya insha za wasifu
  2. kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo na mtindo ufaao
  3. kufurahia uandishi wa insha za wasifu ili kukuza stadi ya kuandika
1. Unazingatia nini unapoandika insha ya wasifu?
  1. Ajadili na wenzake kuhusu mada mbalimbali zinazoweza kutungiwa insha za wasifu k.m. mwanafunzi mwadilifu, mtu aliyeshinda tuzo kwa wadilifu wake n.k.
  2. Andike insha ya wasifu isiyopungua maneno 150 daftarini au kwenye tarakilishi.
  3. Aasome wenzake kuhusu aliyoiandika ili kuitathmini
Kielelezo cha insha ya wasifu
  • Kuandika tungo mbalimbali
  • Wanafunzi kufanyiana tathmini
  • Potfolio
  • Shajara
  • Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
 
6

1

Sarufi Umoja na Wingi wa Nomino: Ngeli ya U-YA

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua nomino katika ngeli ya UYA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine
  2. kuandika nomino za ngeli ya U-YA katika umoja na wingi
  3. Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-YA katika mawasiliano.
1.Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-YA?  

Mwanafunzi:

  1. Atambue nomino katika ya U-YA kwenye kadi, mti wa maneno, tarakilishi au kapu la maneno (kama vile upishi, ulezi, ugonjwa) aandike nomino katika ngeli ya U-YA katika umoja na wingi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi
  2. Asikilize usomaji  wa nomino za ngeli ya U-YA kutoka kwenye tepurekoda au kinasa sauti
  • Tarakilishi/vipa katalishi
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Kapu maneno
  • Mti maneno
  • Kadi za maneno
  • Picha za vitu mbalimbali
  • Michoro
  • Chati
  • Mabango
a) Kutambua k.m. kwenye orodha
b) Kuambatanisha maneno lengwa
c) Kujaza mapengo
d) Kazi mradi
 
2

  Umoja na Wingi wa Nomino: Ngeli ya U-YA

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kuandika nomino za ngeli ya U-YA katika umoja na wingi
  2. kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya ngeli ya U- YA
  3. Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-YA katika mawasiliano.
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-YA?

Mwanafunzi:

  1. Asikilize usomaji  wa nomino  za ngeli ya U-YA kutoka kwenye tepurekoda au kinasa sauti
    1. Aandikemafungu ya meneno yenye nomino za ngeli ya UYA katika umoja na wingi ajaze mapengo kwa kutumia viambishi vya ngeli ya U-YA kwa maandishi ya mkono au kwa tarakilishi
  • Tarakilishi/vipa katalishi
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Kapu maneno
  • Mti maneno
  • Kadi za maneno
  • Picha za vitu mbalimbali
  • Michoro
  • Chati
  • Mabango
a) Kutambua k.m. kwenye orodha
b) Kuambatanisha maneno lengwa
c) Kujaza mapengo
d) Kazi mradi
 
3

  Umoja na wingi wa sentensi: Ngeli ya U-YA

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya U- YA kwenye sentensi
  2. kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi
  3. kufurahia matumizi ya ngeli ya U-YA katika mawasiliano
1. Je, nomino za ngeli ya U-YA huchukua viambishi gani katika sentensi?

Mwanafunzi:

  1. Atambue viambishi vya ngeli ya U-YA katika sentensi kwa kuvipigia mstari daftarini mwake au kuvikoleza rangi katika tarakilishi
  2. Atumie nomino za ngeli ya U-YA katika sentensi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi
  • Tarakilishi/vipa katalishi
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Kapu maneno
  • Mti maneno
  • Kadi za maneno
  • Picha za vitu mbalimbali
  • Michoro
  • Chati
  • Mabango
a) Kutambua k.m. kwenye orodha
b) Kuambatanisha maneno lengwa
c) Kujaza mapengo
d) Kazi mradi
 
4

  Umoja na wingi wa sentensi: Ngeli ya U-YA

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya U- YA kwenye sentensi
  2. kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi
  3. kufurahia matumizi ya ngeli ya U-YA katika mawasiliano
1. Je, nomino za ngeli ya U-YA huchukua viambishi gani katika sentensi?
  1. Asikize usomaji wa sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya U-YA kutoka kwenye tepurekoda au kinasa sauti
  2. aunde sentensi kwa kutumia  nomino ya ngeli ya UYA akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wengine
  3. ajaze mapango kwa kutumia viambishi vya ngeli ya U-YA
  4. kwa maandishi ya mkono au tarakilishi
  • Tarakilishi/vipa katalishi
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Kapu maneno
  • Mti maneno
  • Kadi za maneno
  • Picha za vitu mbalimbali
  • Michoro
  • Chati
  • Mabango
a) Kutambua k.m. kwenye orodha
b) Kuambatanisha maneno lengwa
c) Kujaza mapengo
d) Kazi mradi
 
7

1

ELIMU YA MAZIN GIRA Kusikiliza na Kuzungumza: Nahau: Nahau za usafi na mazingira

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua nahau za usafi na mazingira katika matini mbalimbali
  2. kufafanua maana ya nahau mbalimbali za kazi na ushirikiano kwa kutoa mifano
  3. kutumia nahau za usafi na mazingira katika mawasiliano
  4. Kuthamini matumizi ya nahau za usafi na mazingira katika mawasiliano.
  • Je, ni nahau zipi zinahusu usafi?
  • Je, ni nahau zipi zinahusu mazingira?

Mwanafunzi:

  1. Atambue nahau za usafi na mazingira (k.v. angua kucha, penga kamasi, piga deki, piga mswaki, chokonoa meno, futa vumbi) katika chati, michoro, picha, vikapu maneno, mti maneno, chati, kamusi na katika vyombo vya kidijitali
  2. Ashiriki katika kujadili na wenzake maana za nahau za usafi na mazingira na kutoa mifano
  • Chati
  • Michoro na picha
  • Mgeni mwalikwa(video)
  • Mti maneno
  • Kapu maneno
  1. Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
  2. Kujibu maswali
  3. Maigizo
  4. Kutambua k.m. kwenye orodha
  5. Mijadala
  6. Mazungumzo
 
2

  Kusikiliza na Kuzungumza: Nahau: Nahau za usafi na mazingira

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua nahau za usafi na mazingira katika matini mbalimbali
  2. kufafanua maana ya nahau mbalimbali za kazi na ushirikiano kwa kutoa mifano
  3. kutumia nahau za usafi na mazingira katika mawasiliano
  4. Kuthamini matumizi ya nahau za usafi na mazingira katika mawasiliano.
  • Je, ni nahau zipi zinahusu usafi?
  • Je, ni nahau zipi zinahusu mazingira?
Kutumia nahau za usafi au  mazingira kutunga sentensi akiwa pekee au kwa kushirikiana na wenzake ashirikiane na wenzake  kujaza mapengo katika sentensi kwa kutumia nahau mwafaka kwenye zoezi la ubaoni, vitabuni au katika tarakilishi.
  • Chati
  • Michoro na picha
  • Mgeni mwalikwa(video)
  • Mti maneno
  • Kapu maneno
  • Vitabu mbalimbali
  • Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
  • Kujibu maswali
  • Maigizo
  • Kutambua k.m. kwenye orodha
  • Mijadala
  • Mazungumzo
 
3

Kusoma Kusoma kwa Mapana: Matini

Kufikia mwisho wa mada ndogo,mwanafunzi aweze:

  1. kutambua matini anazotaka kusoma kwenye maktaba
  2. kusoma matini ili kufaidika na ujumbe na lugha inayotumiwa
  3. kufurahia usomaji wa matini za aina mbalimbali ili kujenga utamaduni wa kusoma
  • Unapenda kusoma matini ya aina gani?
  • Ni vipi unavyoweza kupata matini ya kusoma?
  • Kusoma aina mbalimbali za matini kuna umuhimu gani?

Mwanafunzi:

  1. Atambue aina mbalimbali za  matini (kama vile vitabu, magazeti, na majarida) kwenye maktaba, tarakilishi au kadi za katalogi.
  2. Achague matini atakvyosoma
  3. Asome matini kimyakimya ili kupata ujumbe uliopo na kufaidi matumizi ya lugha.
  4. Asimulie ujumbe kutokana na matini alizosoma kwa wenzake.
  5. Ajadiliane na wenzake matini alizosoma ili kuchochea hamu ya usomaji wa mapana miongoni mwao.
  • Tarakilishi/vi pakatalishi
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Nakala ya shairi
  • kamusi
  • Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
  • Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
  • Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
  • Kukariri na kuimba mashairi
  • Kusoma kwa sauti
 
4

  Kusoma kwa Mapana: Matini

Kufikia mwisho wa mada ndogo,mwanafunzi aweze:

  1. kutambua matini anazotaka kusoma kwenye maktaba
  2. kusoma matini ili kufaidika na ujumbe na lugha inayotumiwa
  3. kufurahia usomaji wa matini za aina mbalimbali ili kujenga utamaduni wa kusoma
  • Unapenda kusoma matini ya aina gani?
  • Ni vipi unavyoweza kupata matini ya kusoma?
  • Kusoma aina mbalimbali za matini kuna umuhimu gani?

Mwanafunzi:

  1. Atambue aina mbalimbali za  matini (kama vile vitabu, magazeti, na majarida) kwenye maktaba, tarakilishi au kadi za katalogi.
  2. Achague matino atakavyosoma
  3. Asome i kimyakimya   ili kupata ujumbe uliopo na kufaidi matumizi ya lugha.
  4. Asimulie ujumbe kutokana na matini alizosoma kwa wenzake.
  5. Ajadiliane na a wenzake matini alizosoma ili kuchochea hamu ya usomaji wa mapana miongoni mwao.
  • Tarakilishi/vi pakatalishi
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Nakala ya shairi
  • kamusi
  • Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
  • Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
  • Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
  • Kukariri na kuimba mashairi
  • Kusoma kwa sauti
 
8

1

  Kusoma kwa Mapana: Matini

Kufikia mwisho wa mada ndogo,mwanafunzi aweze:

  1. kutambua matini anazotaka kusoma kwenye maktaba
  2. kusoma matini ili kufaidika na ujumbe na lugha inayotumiwa
  3. kufurahia usomaji wa matini za aina mbalimbali ili kujenga utamaduni wa kusoma
 
  • Unapenda kusoma matini ya aina gani?
  • Ni vipi unavyoweza kupata matini ya kusoma?
  • Kusoma aina mbalimbali za matini kuna umuhimu gani?
  • Achague matino atakavyosoma
  • Asome i kimyakimya   ili kupata ujumbe uliopo na kufaidi matumizi ya lugha.
  • Asimulie ujumbe kutokana na matini alizosoma kwa wenzake.
  • Ajadiliane na a wenzake matini alizosoma ili kuchochea hamu ya usomaji wa mapana miongoni mwao.
  • Tarakilishi/vi pakatalishi
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Nakala ya shairi
  • kamusi
  • Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
  • Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
  • Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
  • Kukariri na kuimba mashairi
  • Kusoma kwa sauti
 
2

Kuandika Insha ya Maelezo

Kufikia mwisho wa mada ndogo,mwanafunzi aweze:

  1. kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali
  2. kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia muundo na mtindo ufaao
  3. kuchangamkia utungaji wa insha za maelezo ili kuimarisha uandishi bora
1. Je, ni shughuli gani zinazoweza kuandikiwa insha za maelezo? Mwanafunzi: atambue vifungu vya insha za maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi (k.v. maelezo kuhusu upandaji wa miche, kusafisha darasa, kufua nguo, kuzuia mmomonyoko wa udongo, kupanda miti) achague zake kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya maelezo Kielelezo cha insha ya maelezo
  • Kuandika tungo mbalimbali
  • Wanafunzi kufanyiana tathmini
  • Potfolio
  • Shajara
  • Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
 
3

  Insha ya Maelezo

Kufikia mwisho wa mada ndogo,mwanafunzi aweze:

  1. kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali
  2. kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia muundo na mtindo ufaao
  3. kuchangamkia utungaji wa insha za maelezo ili kuimarisha uandishi bora
1. Je, ni shughuli gani zinazoweza kuandikiwa insha za maelezo?

Andike insha ya maelezo 

  1. isiyopungua maneno 150 akizingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu unaojumuisha methali na nahau alizojifunza awali
  2. atunge insha ya maelezo mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini
  3. awasomee wenzake insha aliyoandika ili kuisikiliza na kuitathmini
Kielelezo cha insha ya maelezo
  • Kuandika tungo mbalimbali
  • Wanafunzi kufanyiana tathmini
  • Potfolio
  • Shajara
  • Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
 
4

Sarufi Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya KU-KU

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua nomino katika ngeli ya KU-KU
  2. kuandika nomino za ngeli ya KU-KU katika umoja na wingi
  3. kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya KUKU katika mawasiliano
1. Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya KU-KU?

Mwanafunzi: Atambue nomino katika ngeli ya KU-KU (kama vile kupika, kufyeka, kuzuru, kukariri, kufua) kwenye kadi, mti wa maneno, tarakilishi au kapu la maneno

Aandike nomino katika ngeli ya KU-KU katika umoja na wingi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi

  • Tarakilishi/vipa katalishi
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Kapu maneno
  • Mti maneno
  • Kadi za maneno
  • Picha za vitu mbalimbali
  • Michoro
  • Chati
  • Mabango
a) Kutambua k.m. kwenye orodha
b) Kuambatanisha maneno lengwa
c) Kujaza mapengo
d) Kazi mradi
 
9

1

  Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya KU-KU

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kuandika nomino za ngeli ya KU-KU katika umoja na wingi
  2. kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya ngeli yaKU- KU
  3. kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya KUKU katika mawasiliano
1. Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya KU-KU?
  • Asikize usomaji  wa nomino 
  • za ngeli ya KU-KU kutoka kwenye tepurekoda au kinasa sauti
  • aandike mafungu ya maneno yenye nomino za ngeli ya KU-
  • KU katika umoja na wingi
  • Ajaze pengo kwa kutumia viambishi vya ngeli ya KU-KU kwa maandishi ya mkono au kwa tarakilishi.
  • Tarakilishi/vipa katalishi
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Kapu maneno
  • Mti maneno
  • Kadi za maneno
  • Picha za vitu mbalimbali
  • Michoro
  • Chati
  • Mabango
a) Kutambua k.m. kwenye orodha
b) Kuambatanisha maneno lengwa
c) Kujaza mapengo
d) Kazi mradi
 
2

  Umoja na wingi wa sentensi: Ngeli ya KU-KU

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya KUKU kwenye sentensi
  2. kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KU-KU katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi
  3. kufurahia matumizi ya ngeli ya KU-KU katika mawasiliano
1. Je, nomino za ngeli ya KU-KU huchukua viambishi gani katika sentensi?

Mwanafunzi:

  1. Atambue viambishi vya ngeli ya KU-KU katika sentensi kwa kuvipigia mstari au kuvikoleza rangi katika tarakilishi
  2. Atumie nomino katika ngeli ya KU-KU katika sentensi akiwa peke yake,wawiliwawili au katika vikundi
  3. Asikize usomaji wa sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya KU-KU kutoka kwenye tepurekoda au kinasa sauti
  • Tarakilishi/vipa katalishi
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Kapu maneno
  • Mti maneno
  • Kadi za maneno
  • Picha za vitu mbalimbali
  • Michoro
  • Chati
  • Mabango
a) Kutambua k.m. kwenye orodha
b) Kuambatanisha maneno lengwa
c) Kujaza mapengo
d) Kazi mradi
 
3

  Umoja na wingi wa sentensi: Ngeli ya KU-KU

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya KUKU kwenye sentensi
  2. kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KU-KU katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi
  3. kufurahia matumizi ya ngeli ya KU-KU katika mawasiliano
1. Je, nomino za ngeli ya KU-KU huchukua viambishi gani katika sentensi?
  • Aunde sentensi kutumia  nomino ya ngeli ya KUKU akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wenzake
  • ajaze mapengo viambishi vya ngeli ya KU-KU kwa maandishi ya mkono au tarakilishi.
  • Tarakilishi/vipa katalishi
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Kapu maneno
  • Mti maneno
  • Kadi za maneno
  • Picha za vitu mbalimbali
  • Michoro
  • Chati
  • Mabango
a) Kutambua k.m. kwenye orodha
b) Kuambatanisha maneno lengwa
c) Kujaza mapengo
d) Kazi mradi
 
4

NDEGE WA PORINI Kusikiliza na Kuzungumza: Visawe: Visawe vya maneno matatu

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya KUKU kwenye sentensi
  2. kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KU-KU katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi
  3. kufurahia matumizi ya ngeli ya KU-KU katika mawasiliano
1. Unajua maneno gani ya Kiswahili yaliyo na maana sawa?

Mwanafunzi:

  • Atambue maneno matatu matatu yenye maana sawa (k.v. nyumbani- kiamboni, mastakimuni, chengoni.
  • Barabara- tariki, gurufa, baraste. Jitimaihuzuni, kihoro, simanzi) kwa kutumia kapu la maneno, kadi za maneno, mti maneno, kuburura kwa kutumia tarakilishi, n.k. matatu yenye maana sawa akiwa peke yake au kwa kujadiliana na wenzake
  • Chati
  • Michoro na picha
  • Mgeni mwalikwa
  • video)
  • Mti maneno
  • Kapu maneno
  • Vitabu mbalimbali
  • Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
  • Kujibu maswali
  • Maigizo
  • Kutambua k.m. kwenye orodha
  • Mijadala
  • Mazungumzo
 
10

1

  Kusikiliza na Kuzungumza: Visawe: Visawe vya maneno matatu

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua maneno matatu yenye maana sawa katika kundi la maneno
  2. kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano
  3. kuthamini matumizi ya maneno matatu yenye maana sawa katika mawasiliano
1. Unajua maneno gani ya Kiswahili yaliyo na maana sawa?

katika kapu maneno, mti maneno, ubao, chati, vyombo vya kidijitali, kadi maneno n.k ahusishe visawe na vifaa halisi, picha, michoro kwenye chati, kitabu au katika vyombo vya kidijitali n.k. mbalimbali katika vikundi vya wanafunzi wawiliwawili au zaidi atumie kisawe kimoja kuchukua nafasi ya kingine katika sentensi.

  • Chati
  • Michoro na picha
  • Mgeni mwalikwa
  • video)
  • Mti maneno
  • Kapu maneno
  • Vitabu mbalimbali
  • Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
  • Kujibu maswali
  • Maigizo
  • Kutambua k.m. kwenye orodha
  • Mijadala
  • Mazungumzo
 
2

Kusoma Kusoma kwa Ufahamu: Mchezo wa kuigiza

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua mchezo wa kuigiza katika matini
  2. kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha
  3. kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza
  4. Kufurahia kusoma michezo na kuigiza.
 
  • Umewahi kusoma michezo ipi ya kuigiza?
  • Unakumbuka nini katika mchezo uliowahi kuusoma?
  • Kusoma michezo ya kuigiza kuna umuhimu gani?

Mwanafunzi:

  • Aeleze maana ya mchezo wa kuigiza akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi
  • Aigize mchezo wa kuigiza, wahusika na maelekezo katika matini mbalimbali kama vile vitabu, chati na vilevile kwa kutumia tarakilishi
  • Atambue mchezo wa kuigiza akizingatia wahusika, maelekezo na ujumbe
  • Ashiriki katika majadiliano kuhusu msamiati wa suala lengwa (ndege wa porini) uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza (k.v. chiriku, kasuku, tai, korongo, mwewe na kanga)
  • Tarakilishi/vi pakatalishi
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Nakala ya shairi
  • kamusi
  • Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
  • Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
  • Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
  • Kukariri na kuimba mashairi
  • Kusoma kwa sauti
 
3

  Kusoma kwa Ufahamu: Mchezo wa kuigiza

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza
  2. kuonyesha ufahamu wa mchezo wa kuigiza kwa kujibu maswali
  3. kuigiza mchezo mfupi ili kukuza uwezo wa kujieleza
  4. Kufurahia kusoma michezo na kuigiza.
  • Umewahi kusoma michezo ipi ya kuigiza?
  • Unakumbuka nini katika mchezo uliowahi kuusoma?
  • Kusoma michezo ya kuigiza kuna umuhimu gani?

Atazame mchezo mfupi wa kuigiza ukiigizwa darasani au kwenye vifaa vya kidijitali aigize mchezo mfupi aliousoma akishirikiana na wenzake ashiriki mjadala kuhusu ujumbe unaojitokeza kwenye mchezo wa kuigiza

Asome michezo ya kuigiza kwenye mtandao ashiriki katika kutoa muhtasari wa mchezo aliousoma kuuliza na kujibu maswali ya ufahamu

  • Tarakilishi/vi pakatalishi
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Kinasasauti
  • Rununu
  • projekta
  • Nakala ya shairi
  • kamusi
  1. Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
  2. Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
  3. Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
  4. Kukariri na kuimba mashairi
  5. Kusoma kwa sauti
 
4

Kuandika Kuandika insha: Insha za masimulizi

Kufikia mwisho wa mada ndogo,mwanafunzi aweze,

  1. kueleza sifa za insha ya masimuizi ili kuibainisha
  2. kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo
  3. kuchangamkia utunzi mzuri
1. Ni mambo gani unayozingatia ili kuandika insha ya masimulizi ya kuvutia? Mwanafunzi:
Atambue insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi mada ya insha na muundo wa insha ya masimulizi katika vifaa vya kidijitali na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmi asomee wenzake insha aliyoandika ili waitathmini na kumwelekeza.
  • Kielelezo cha insha ya
  • masimulizi
  1. Kuandika tungo mbalimbali
  2. Wanafunzi kufanyiana tathmini
  3. Potfolio
  4. Shajara
  5. Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
 
Read 693 times Last modified on Tuesday, 15 November 2022 12:40

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.