Kiswahili Karatasi ya 1 - 2020 MOKASA JOINT MOCKS EXAMINATION (QUESTIONS AND ANSWERS)

Share via Whatsapp
 1. Wewe ni mwandishi wa habari katika gazeti la Mzalendo. Umetembelewa na profesa wa masuala ya Historia na Serikali kwa minajili ya kumhoji kuhusu namna ya kuimarisha mshikamano wa kitaifa katika taifa lenu la Utengano. Andika mahojiano yenu.
 2. Kufaulu kwa Mfumo Mpya wa Elimu ya Umilisi hakutegemei juhudi za serikali tu, bali pia jamii kwa ujumla. Jadili
 3. Andika kisa kitakachodhihirisha maana ya methali: Atafutaye hachoki na akichoka keshapata.
 4. Tunga kisa kitakachomalizika kwa maneno haya: Ingawa sikuwa ninamwamini, sikutarajia angetenda kitendo cha kiuhayawani kama hicho
Join our whatsapp group for latest updates

Download Kiswahili Karatasi ya 1 - 2020 MOKASA JOINT MOCKS EXAMINATION (QUESTIONS AND ANSWERS).


Tap Here to Download for 50/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

 • easyelimu app
 • Telegram
 • facebook page
 • twitter page
 • Pinterest